Post

Erin Andrews - Age, Family, Bio

published on
Sportscaster and TV personality who has appeared on a number of programs, including ESPN's College GameDay and ABC's Good Morning America. She has also co-hosted ABC's Dancing with the Stars. Before Fame She went to Bloomingdale High School in Valrico, Florida, where she was a cheerleader, a member of the debate team, and a National Scholar Society member. Trivia She was on the Florida Gators Dazzlers dance team while attending the University of Florida from 1997 to 2000. Read More...

Seneta Kang'ata amuonya Rais Uhuru kuwa Mlima Kenya wamekataa BBI

published on
- Kang'ata pia alionya kuwa huenda mgombea wa Chama cha Jubilee katika uchaguzi mdogo ujao wa kiti cha ugavana Nairobi atalambishwa sakafu - Seneta huyo anamtaka rais sasa kuchukua hatua za haraka na kubadilisha mbinu za kuuza sera za BBI eneo hilo ambalo ni ngome ya kisiasa ya Rais Uhuru - Hata hivyo, alishikilia kuwa utafiti wake si wa kisayansi na kumtaka Rais kutumia njia mwafaka kubaini endapo kauli yake ni ya kweli Read More...

Seneta Orengo asema ana hofu kuhusu mashauriano kati ya Raila na Uhuru

published on
- Seneta wa Siaya James Orengo amemsihi Rais Uhuru kuwadhibiti viongozi wa Jubilee - Orengo anasema kuna uwezekano wa viongozi hao kuingilia mazungumzo kati ya Uhuru na Raila - Tangu siasa za 2022 kuibuka wanasiasa wa upande wa NASA wamekuwa wakionekana kuunga mkono Ruto kuwania urais Kiongozi mtarajiwa wa Wachache katika Bunge la Seneti, James Orengo, ameelezea hofu yake kuhusu kuingiliwa kwa maafikiano kati ya Uhuru na Raila na viongozi wa Jubilee. Read More...