- Nanok alisema Raila ni mtu ambaye huwazawadi viongozi wa Nyanza pekee
- Alisema tangu handshake ifanywe, ni Mbadi, Orengo na Junet wamefaidika
- Vile vile alimlaumu Raila akisema aliagiza atimuliwe kutoka wadhifa wake ndani ya ODM
Gavana wa Turkana Josephat Nanok Ijumaa, Agosti 16, alimkabili kiongozi wa ODM Raila Odinga kwa maneno makali walipokutana kwenye sherehe za jamii ya Waturkana.
Nanok alimwambia Raila kuwa, licha ya jamii ya Waturkana haswa kwenye kaunti hiyo, kumuunga mkono asilimia mia kwa mia kwenye uchaguzi wa urais wa 2017, aliisahau alipoingia kwenye serikali kupitia kwa makubaliano yake na Rais Uhuru Kenyatta, maarufu kama handshake. Read More...
Compton-based rapper known for his introspective lyrical style who first gained critical acclaim for his 2011 album Section.80. His third album, 2015's To Pimp a Butterfly, helped him earn a wider audience, leading to seven Grammy Awards between 2015 and 2016.
Before Fame He released his first mixtape at the age of sixteen, eight years after watching Tupac and Dr. Dre's music video "California Love" for the first time.
Trivia His second album, Good Kid, M. Read More...